Mshambuliaji wa Sweden Zlatan Ibrahimovic akibinuka tik tak kuifungia bao timu yake katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Iran kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Friends mjini Stockholm. Sweden ilishinda 3-1, mabao yake mengine yakifungwa na Marcus Berg na Ola Toivonen, wakati la Iran lilifungwa na Javad Nekounam kwa penalti.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3020127/Sweden-3-1-Iran-Zlatan-Ibrahimovic-desperate-net-wonder-strike-settle-header-friendly-victory.html#ixzz3W2hMsXqf
0 comments:
Post a Comment