// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HAWA NDIYO WALIOINGIA FAINALI TUZO ZA KILI 2015 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HAWA NDIYO WALIOINGIA FAINALI TUZO ZA KILI 2015 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, April 29, 2015

    HAWA NDIYO WALIOINGIA FAINALI TUZO ZA KILI 2015

    Diamond aling'ara tuzo za Kili mwaka jana, je mwaka huu atafanya vizuri tena?
    Mtumbuizaji Bora Wa Muziki Wa Mwaka- Kiume; Mzee Yussuf, Christian Bella, Diamond Planumz, Ally Kiba Na Nyoshi El Saadat.
    Mtumbuizaji Bora Wa Muziki Wa Mwaka- Kike; Vanessa Mdee, Khadija Kopa, Isha Mashauzi, Shaa Na Dayna Nyange.
    Mwimbaji Bora Wa Kiume- Taarab; Mzee Yussuf, Prince Amigo, Hassan Vocha, Hassan Ally, Mussa Kijoti.
    Mwimbaji Bora Wa Kiume- Bongo Fleva;
    Ali Kiba, Ben Pol, Jux, Diamond Na Belle 9.  Mwimbaji Bora Wa Kiume- Bendi; Jose Mara,
    Kalala Junior, Khalidi Chokoraa, Chaz Baba Na Nyoshi El Sadat.
    Mwimbaji Bora Wa Kike- Taarab; Khadija Kopa, Isha Mashauzi, Hadija Yussuf, Leiyla Rashid Na Fatuma Nyoro.
    Mwimbaji Bora Wa Kike- Bongo Fleva; Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Linnah, Grace Matata Na Malaika.
    Wimbo Bora Wa Taarab; Hasid Hana Sababu-Hadija Yussuf, Lady With A Confidence-Khadija Kopa, Chozi La Mama-Mzee Yusuph, 
    Fanya Yako-Leyla Rashid Na Mapenzi Hayana Dhamana-Isha Mashauzi.
    Wimbo Bora Wa Mwaka;  Mwana -Ali Kiba, 
    Nani Kama Mama -Christian Bella Ft Ommy Dimpoz, Gere –Weusi, Nitasubiri –Jux Na Bongo Hip Hop -Fid Q.
    Wimbo Bora Wa Kiswahili (Bendi); Otilia-Fm Academia, Kiu Ya Haki-Mashujaa Band,
    Sauti Ya Marehemu-Mapacha Watatu,  Ganda La Mua-The African Stars (Twanga Pepeta) Na Wale Wale-Vijana Ngwasuma.
    Wimbo Bora Wa R&B; Nitasubiri -Jux
    Unanichora -Ben Pol, Vitamin Music -Belle 9 Ft Joh Makini, Sisikii –Jux Na Ni Penzi -Damian Soul.
    Wimbo Bora Wa Hip Hop; Bongo Hip Hop -Fid Q, Mfalme -Mwana Fa Ft Gnako, Kipi Sijasikia -Pro J Ft Diamond, Gere –Weusi, I See Me -Joh Makini Na Xo -Joh Makini Ft Gnako.
    Wimbo Bora Wa Regga/Dance Hall; Let Them Know-Maua, Mama Afrika -Warriors From The East, Maisha Magumu-Warriors From The East, Greetings For You-Ras Six Na Tujimwage-Deddy.
    Rapa Bora Wa Mwaka (Bendi), Ferguson, Msafiri Diouf, Sauti Ya Radi Na Kabatano.
    Msanii Bora Wa Hip Hop; Fid Q, Joh Makini,
    Mwana Fa, Professor Jay (Prof J) Na Roma.
    Wimbo Bora Wa Afrika Mashariki; Sura Yako -Sauti Sol, Kioo –Jaguar, Walewale -Jose Chamilion, Prokoto -Victoria Kimani Ft Diamond,Ommy Dimpoz Na Show -Victoria Kimani.
    Mtunzi Bora Wa Mwaka- Taarabu; Mzee Yussuf, Thabiti Abdul, Isha Mashauzi, Abdallah Fereshi Na Hassan Ally.
    Mtunzi Bora Wa Mwaka- Bongo Fleva;
    Ali Kiba, Diamond, Ben Pol, Barnaba Na Jux.
    Mtunzi Bora Wa Mwaka- Bendi; Jose Mara, 
    Nyoshi El Saadat, Rogart Hegga Katapila, 
    Hussein Jumbe Na Richard Mangustino.
    Mtunzi Bora Wa Mwaka- Hip Hop; Fid Q, Mwana Fa, Joh Makini, Nikki Wa Pili Na Kalah Jeremayah.
    Mtayarishaji (Producer) Bora Wa Nyimbo; 
    Nahreel, Man Water, Mesen Selekta, Tudd Thomas Na Marco Chali.
    Mtayarishaji (Producer) Bora Wa Nyimbo Wa Mwaka- Taarab; Enrico Na Marlon Linje.
    Mtayarishaji (Producer) Bora Wa Nyimbo Wa Mwaka- Bendi; Allan Mapigo, Enrico, Said Comorien, Amoroso Na Ababuu Mwana Zanzibar.
    Video Bora Ya Muziki Ya Mwaka; Mdogo Mdogo-Diamond, Nitampata Wapi-Diamond, Mwana-Ali Kiba, Olethemba-Liner Na Asante-Ay.
    Wimbo Bora Wa Afro Pop; Mwana -Ali Kiba, 
    Mdogo Mdogo-Diamond, Niseme -Yamoto Band, Nitakupwelepweta -Yamoto Band, Kanya Boya- Mesen Selekta Na Hawajui -Vanessa Mdee. 
    Wimbo Bora Wa Zouk/Rhumba; Nani Kama Mama -Christian Bella Ft Ommy Dimpoz, Basi Nenda -Mo Music, Nitampata Wapi –Diamond, Nasimama -Lady Jay Dee Na Historia -Lady Jay Dee.
    Wimbo Bora Wenye Vionjo Vya Asili Ya Kitanzania; Waite-Mrisho Mpoto Ft Felly Kano, Vuma-Vitalis Maembe, Tumetoka Mbali-Jaguar Music, Mama Shabani-Ifa Band Na Omwana-B.K.Sande.
    Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia; Baraka Da Prince, Beka Tittle, Afromaniac, Alice Na 
    Biillnas. 
    Wimbo Bora Wa Kushirikishwa/Kushirikiana; Forever -Lady Jay Dee Ft Dabo, Mfalme -Mwana Fa Ft Gnako, Kipi Sijasikia -Prof J Ft Diamond, 
    Kiboko Yangu -Mwana Fa Ft Ali Kiba Na Kerewa -Shetta Ft Diamond.
    Bendi Bora Ya Mwaka; Fm Academia,
    The African Stars (Twanga Pepeta), Mapacha Watatu, Mashujaa Band,
    Msondo Ngoma Music Band.
    Kikundi Bora Cha Mwaka- Taarab; Jahazi Modern Taarab, Mashauzi Classic, Dar Modern Taarab, Five Stars Na Wakali Wao Modern Taradance.
    Kikundi Bora Cha Mwaka- Bongo Fleva; Yamoto Band, Weusi, Navikenzo, Makommando Na B.O.B.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAWA NDIYO WALIOINGIA FAINALI TUZO ZA KILI 2015 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top