Nahodha wa England, Wayne Rooney (kulia) akimtoka beki wa Italia, Andrea Ranocchia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki jana Uwanja wa Juventus, Italia. Graziano Pelle alianza kuifungia Azzuri dakika ya 29 kabla ya Andros Townsend kuisawazishia Three Lions dakika ya 79.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3020241/Italy-1-1-England-Andros-Townsend-s-brilliant-right-footed-strike-cancels-Graziano-Pelle-s-opener-friendly-draw.html#ixzz3W2fuY4uq
0 comments:
Post a Comment