Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero ameifungia bao la kwanza Argentina Uwanja wa MetLife katika usindi wa 2-1 dhidi ya Ecuador mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Argentina lilifungwa na Javier Pastore wakati la Ecuador lilifungwa Miller Bolanos.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3020921/Argentina-2-1-Ecuador-Sergio-Aguero-Javier-Pastore-target.html#ixzz3W5v9yBbB
0 comments:
Post a Comment