
Thursday, April 30, 2015

NAHODHA wa Chelsea, John Terry sasa ndiye mchezaji wa nafasi za ulinzi aliyefunga mabao mengi zaidi Ligi Kuu England baada ya Jumatano kuf...
ARSHAVIN WA ARSENAL 'AFUNGASHIWA VIRAGO' URUSI
Thursday, April 30, 2015
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Andrei Arshavin atatemwa na vinara wa Urusi, Zenit St Petersburg mwishoni mwa msimu, sambamba na kiungo...
ARSENAL YAMFUNGIA MAMA WA MCHEZAJI WAO KUFIKA UWANJANI, KISA...
Thursday, April 30, 2015
KLABU ya Arsenal imemfungia mama wa mchezaji wake wa umri wa miaka 17, winga Ainsley Maitland-Niles baada ya kumtolea 'maneno machafu...
YANGA SC ‘WACHOMESHWA’ SAA MBILI UWANJA NDEGE TUNIS, WAPEWA BASI KUSAFIRI KILIMOTA 140 KUWAFUATA ETOILE ‘KIJIJINI KWAO’
Thursday, April 30, 2015
Na Prince Akbar, TUNIS MSAFARA wa Yanga SC imetua salama mjini Tunis na baada ya kugandishwa kwa saa zaidi ya mbili Uwanja wa Tunis, imean...
EMIRATES WALIVYYOITEKA DUNIA YA MICHEZO, WAPO KILA SEHEMU
Thursday, April 30, 2015
NEMBO ya Shirika la ndege la Emirates itakuwa maarufu zaidi katika anga ya michezo duniani. Jumanne, BIN ZUBEIRY iliandika kwamba kampu...
HASIRA ZA RONALDO ANAPOSHINDWA KUFUNGA MABAO...
Thursday, April 30, 2015
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akipiga mpira kwa hasira nyavuni baada ya Alvaro Arbeloa kuifungia timu hiyo bao kati...
USIMCHUKULIE POA MAYWEATHER, NAYE AMESOTEA MAFANIKIO YAKE
Thursday, April 30, 2015
KWA sasa Floyd Mayweather ni mtu maarufu na tajiri duniani, anayechezea fedha kwa starehe na anasa. Lakini kuelekea pambano lake kubwa d...
BABA MAYWEATHER AHOFIA MWANAWE ATAFILISIKA AKIENDEKEZA MATANUZI
Thursday, April 30, 2015
PAMOJA na kwamba bondia Floyd Mayweather ataongeza dola za Kimarekani Milioni 180 katika akaunti yake ya benki Jumamosi usiku, kuna wasiwa...
NDANDA WATAKIWA KUMLIPA MCHEZAJI SH MILIONI 2.6, VINGINEVYO…
Thursday, April 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM KLABU ya Ndanda SC imeamuriwa kumlipa mchezaji Amiri Msumi kiasi cha fedha sh. 2, 600,000. Pia Kamati il...
SIMBA WATAKIWA KUMLIPA CHANONGO MILIONI 11. 4
Thursday, April 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba SC inatakiwa kumlipa mchezaji Haroun Chanongo (pichani kulia) Sh. 11, 400,000, kufiki...
HUKUMU YA KESI YA TAMBWE NA SIMBA SC HII HAPA
Thursday, April 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Amissi Tambwe aliwasilisha malalamiko dhidi ya Simba ya kutolipwa dola 7,000 za Marekani zi...
MSOTO WA MAISHA ALIOUPITIA MANNY PACQUIAO KABLA YA KUWA STAA, UNASIKITISHA!
Thursday, April 30, 2015
BONDIA Manny Pacquiao alikimbia nyumbani kwao baada ya baba yake kula mwa wa familia. Nyota huyo wa Ufilipino alikuwa ana maisha magumu ...
KOCHA WA PACQUIAO ASEMA; "NINA WASIWASI MAYWEATHER ATAINGIA MITINI JUMAMOSI, KAWA MPOLE GHAFLA"
Thursday, April 30, 2015
KOCH bora wa ngumi miaka saba, Freddie Roach amnaye anamuandaa Manny Pacquiao kwa pambano dhidi ya Floyd Mayweather Jumamosi wiki hii amez...
REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA DHIDI YA ALMERIA
Thursday, April 30, 2015
Mshambuliaji wa Real Madrid, Javier Hernandez 'Chicharito' anayecheza kwa mkopo kutoka Manchester United, akimtoka beki wa...
Subscribe to:
Posts (Atom)