// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC WANAVYOKAMUA KUWAKUSANYIA NGUVU WAZIMBABWE KOMBE LA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC WANAVYOKAMUA KUWAKUSANYIA NGUVU WAZIMBABWE KOMBE LA AFRIKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Friday, March 13, 2015

    YANGA SC WANAVYOKAMUA KUWAKUSANYIA NGUVU WAZIMBABWE KOMBE LA AFRIKA

    Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini asubuhi ya leo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe Jumapili Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Kocha Mholanzi wa Yanga SC, Hans van der Pluijm akimuelekeza jambo mshambuliaji wake, Mrundi Amisi Tambwe mazoezini leo
    Wachezaji wa Yanga SC wameendelea na mazoezi leo kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Platinum

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WANAVYOKAMUA KUWAKUSANYIA NGUVU WAZIMBABWE KOMBE LA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry