// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, March 22, 2015

    YANGA SC NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI

    Beki wa Yanga SC, Oscar Joshua akiwa hewani kuppiga mpira kichwa dhidi ya Salim Mlima wa Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga SC ilishinda 2-0.
    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka Mohammed Samatta wa Mgambo
    Simon Msuva wa Yanga SC, akimtoka Ramadhan Malima wa Mgambo
    Amisi Tambwe wa Yanga SC akiwa ameruka kupiga mpira kichwa dhidi ya mabeki wa Mgambo
    Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akiwa ameruka juu kugombea mpira na Malimi Busungu wa Mgambo
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akiwatoka mabeki wa Mgambo 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MGAMBO KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top