• HABARI MPYA

        Sunday, March 29, 2015

        UBELGIJI YAITANDIKA 5-0 CYPRUS, FELLAINI APIGA MBILI


        Vincent Kompany (left) and Fellaini celebrate after the latter got the ball rolling against Cyprus on Saturday
        Vincent Kompany (kushoto) na Marouane Fellaini wakishngilia Uwanja wa King Baudouin, baada ya kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Cyprus mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2016 usiku wa jana. Mabao ya Ubelgiji yalifungwa na Marouane Fellaini mawili, Christian Benteke, Eden Hazard na Michy Batshuayi.
        Eden Hazards, who also scored for his country against Cyprus, evades the challenge of Marios Nikolaou
        Eden Hazard akimtoka beki wa Cyprus, Marios Nikolaou

        PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3016312/Belgium-5-0-Cyprus-Marouane-Fellaini-double-Marc-Wilmots-secure-easy-Group-B-victory.html#ixzz3VkKzI4IC 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: UBELGIJI YAITANDIKA 5-0 CYPRUS, FELLAINI APIGA MBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry