Beki wa Sunderland, Anthony Reveillere akipeleka daluga kwenye mpira dhidi ya guu la Elmohamady wa Hull City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa KC. Timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1, bao la Hull likifungwa na Dame N'Doye dakika ya 15 kabla ya Sunderland kusawazisha dakika ya 77 kupitia kwa Jack Rodwell.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2978069/Hull-1-1-Sunderland-Jack-Rodwell-cancels-Dame-N-Doye-opener-Black-Cats-boss-Gus-Poyet-sent-stands.html#ixzz3TO3KqZkp
0 comments:
Post a Comment