![]() |
Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akimtoka beki wa Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mechi iliisha kwa sare ya 1-1. |
![]() |
Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Malawi |
![]() |
Haroun Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Malawi |
![]() |
Beki wa Tanzania, Aggrey Morris akimdhibiti mshambuliaji wa Malawi |
![]() |
Shomary Kapombe akitafuta maarifanya kumpita beki wa Malawi |
![]() |
Mwinyi Kazimoto akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Malawi |
0 comments:
Post a Comment