Shane Long akishangilia baada ya kuifungia Southampton dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Burnley Ligi Kuu ya England leo. Bao lingine la Southampton lilifungwa na Jason Shackell aliyejifunga
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3005621/Southampton-2-0-Burnley-Shane-Long-strike-Jason-Shackell-goal-keeps-Saints-Euro-hunt.html#ixzz3V2kMDFcY
0 comments:
Post a Comment