Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa Prisons, James Mwasote katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-0 |
Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma akimtoka beki wa Prisons, Nurdin Chona |
Beki na Nahodha wa Prisons, Laurian Mpalile akimdhibiti winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' kushoto |
Beki wa Prisons, Nurdin Chona akimpunguza kasi mshambuliaji wa Simba SC, Hajibu Salum (mbele) |
Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimhadaa kiungo wa Prisons, Freddy Chudu |
Beki wa Simba SC, MOhammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akimtoka mchezaji wa Prisons |
0 comments:
Post a Comment