// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, March 03, 2015

    SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI TAIFA

    Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa.
    Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.
    Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (katikati) amesitisha matumizi ya tiketi za Elektroniki katika mechi za soka nchini
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top