Wachezaji wa Iran wakishangilia baada ya mwenzao Javad Nekounam (Namba 6) kufunga katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Chile Uwanja wa St Polten nchini Austria. Iran ilishinda 2-0, bao lake lingine likifungwa na Vahid Amiri.
Alexis Sanchez wa Arsenal aliingia kipindi cha pili kutoka benchi, lakini akashindwa kuinusuru Chile na kipigo cha 2-0.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3013597/Iran-2-0-Chile-Alexis-Sanchez-fails-spark-comeback-Queiroz-masterminds-shock.html#ixzz3VZfMCBjc
0 comments:
Post a Comment