Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo ameweka kwenye Instagram picha ya gari la mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya Ureno, Ricardo Quaresma akiwa amelipamba kwa chata lake CR7
Ronaldo amelipamba gari la Quaresma kwa staili ya kiatu chake cha Nike Mercurial Superfly, CR7
0 comments:
Post a Comment