KIUNGO Haruna Niyonzima wa Yanga amepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kwa mujibu wa Kanuni ya 37(f) kwa kupiga teke meza ya mwamuzi wa akiba baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Haruna alitolewa kawa kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya mahasimu, Simba SC, waliobuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Yanga SC.
Hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kilichoketi Machi 24, Machi mwaka huu mjini Dar es salaam kupitia taarifa mbalimbali za michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

![]() |
Haruna Niyonzima kushoto amepogwa faini kwa kupiga teke meza ya refa wa akiba |
0 comments:
Post a Comment