// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NEYMAR AIONGOZA BRAZIL KUICHAPA UFARANSA 3-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NEYMAR AIONGOZA BRAZIL KUICHAPA UFARANSA 3-1 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, March 27, 2015

    NEYMAR AIONGOZA BRAZIL KUICHAPA UFARANSA 3-1

    TIMU ya taifa ya Brazil imetoka nyuma na kuifunga Ufaransa manao 3-1 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Stade de France usiku huu.
    Shukrani kwa, kiungo wa Chelsea Oscar, mshambuliaji wa Barcelona, Neymar na kiungo mkabaji wa Wolfsburg, Luis Gustavo.
    Ufaransa walitangulia kupata katika mchezo huo kupitia kwa Raphael Varane aliyefunga kwa kichwa.
    Neymar sasa amefikisha mabao 43 aliyoifungia Brazil, baada ya kumtungua kiopa Steve Mandanda.  
    Kikosi cha Ufaransa kilikuwa; Mandanda, Sagna, Varane, Sakho, Evra, Matuidi/Giroud dk84, Schneiderlin, Sissoko/Kondogbia dk74, Griezmann/Fekir dk74, Benzema na Valbuena/Payet dk82.
    Brazil: Jefferson, Danilo, Miranda, Thiago Silva, Luis, Gustavo/Fernandinho dk90, Elias/Marcelo dk92, Oscar/Souzask 86, Neymar, Willian/Douglas Costa dk83, Firmino/Adriano dk88.
    Neymar, of Barcelona, battles with PSG's Blaise Matuidi as Brazil struggled to find their best play in a tight first half
    Mshambuliaji wa Barceloan, Neymar akigombea na beki wa PSG, Blaise Matuidi 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3013668/France-1-3-Brazil-Oscar-leads-fightback-Neymar-scores-goal-selecao-Dunga-s-win-Paris.html#ixzz3VX4ZqTT1 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AIONGOZA BRAZIL KUICHAPA UFARANSA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top