![]() |
Bondia Mohammed Matumla (kushoto) akimsukumia konde mpinzani wake, Wang Xin Hua katika pambano la uzito wa Super Bantam jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Matumla alishinda kwa pointi. |
![]() |
Matumla Jr akimuadhibu Mchina |
![]() |
Mohammed Matumla alimzidi mpinzani wake jana |
![]() |
Mohammed Matumla aliwapa faraja Watanzania jana |
![]() |
Bondia Mchina jana alikutana na shughuli pevu ulingoni |
![]() |
Mchina alipigwa aina zote za ngumi jana na Matumla, lakini alikuwa mbishi kukaa tu |
0 comments:
Post a Comment