// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MCHINA AWASILI DAR KUMVAA MATUMLA MACHI 27 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MCHINA AWASILI DAR KUMVAA MATUMLA MACHI 27 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, March 24, 2015

    MCHINA AWASILI DAR KUMVAA MATUMLA MACHI 27

    Rais wa Bodi ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBO), Yassin Abdallah 'Ustadh' (kushoto), akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana kwa ajili ya pambano lake na Mtanzania, Mohamed Rashid Matumla litakalofanyika Machi 27, mwaka huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaa. Matikati ni Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania (PST) Emmanuel Mlundwa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHINA AWASILI DAR KUMVAA MATUMLA MACHI 27 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top