Marco Reus anayewaniwa na Arsenal (kulia) akifumua shuti kuifungia bao la kwanza Ujerumani katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Georgia kufuzu Euro 2016. Bao lingine la Ujerumani ikiwa ugenini leo, limefungwa na mkongwe Thomas Muller.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3017045/Georgia-0-2-Germany-Marco-Reus-inspires-Euro-2016-group-D-qualifier.html#ixzz3VoQPvMmm
0 comments:
Post a Comment