// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MBUYU TWITE, SHERMAN NAO MAJANGA, WAFANYA MAZOEZI MEPESI KIVYAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MBUYU TWITE, SHERMAN NAO MAJANGA, WAFANYA MAZOEZI MEPESI KIVYAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Friday, March 13, 2015

    MBUYU TWITE, SHERMAN NAO MAJANGA, WAFANYA MAZOEZI MEPESI KIVYAO

    Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite kushoto akifanya maoezi mepesi na mshambuliaji wa timu hiyo Kpah Sherman asubuhi ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Twite raia wa DRC na Mliberia Sherman walifanya mazoezi peke yao kwa sababu wana maumivu madogo madogo. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBUYU TWITE, SHERMAN NAO MAJANGA, WAFANYA MAZOEZI MEPESI KIVYAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry