// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JULIO NA WATU YANGA AMANI TU TANGA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JULIO NA WATU YANGA AMANI TU TANGA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 21, 2015

    JULIO NA WATU YANGA AMANI TU TANGA!

    Kocha wa Coastal Union, Jamhuri Kihwelo 'Julio' kulia akiwa na mpenzi wa Yanga SC, Ziota Musisa 'Papa Zii' asubuhi ya leo katika hoteli ya Mtendele, Tanga. Yanga SC wapo Tanga kwa ajili ya mechi na Mgambo leo, wakati Coastal ya Julio itamenyana na Azam FC.
    Katika meza hiyo walikuwepo pia Katibu wa Yanga SC, Dk Jonas Tihobora kushoto na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ayoub Nyenzi kulia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JULIO NA WATU YANGA AMANI TU TANGA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top