Ciro Immobile wa Italia akipambana na Aleksandar Aleksandrov na kipa Nikolay Mihaylov wa Bulgaria katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2016 mjini Sofia. Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya Italia yakifungwa na Yordan Minev aliyejifunga dakika ya nne na Eder dakika za lala salama, wakati ya Bulgaria yalifungwa na Ivelin Popov na Ilian Micanski.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3016313/Bulgaria-2-2-Italy-Eder-rescue-Azzurri-Euro-2016-qualifier.html#ixzz3VkINDxQL
0 comments:
Post a Comment