Kiungo wa Hispania, Andres Iniesta akimiliki mpira pembeni ya Artem Fedetskiy wa Ukraine katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro. Hispania ilishinda 1-0 bao pekee la Alvaro Morata.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3015346/Spain-1-0-Ukraine-Alvaro-Morata-scores-international-goal-Vicente-del-Bosque-s-pressure-Slovakia.html#ixzz3VdO7SgJn
0 comments:
Post a Comment