// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HAYA NDIYO YALIYOMSIBU DADA YETU ASHA NGEDERE JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HAYA NDIYO YALIYOMSIBU DADA YETU ASHA NGEDERE JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Saturday, March 28, 2015

    HAYA NDIYO YALIYOMSIBU DADA YETU ASHA NGEDERE JANA

    Bondia Mkenya, Bena Kaloki kulia akipigana na Mtanzania, Asha Ngedere usiku jana katika pambano la uzito wa Light Welter kuwania ubingwa wa WBU lililofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Kaloki alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya nne.
    Asha Ngedere alijitahidi jana, lakini alikutana na mkali
    Asha Ngedere akiwa amelala chini baada ya kukutana na sumbwi la Bena Kaloki

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAYA NDIYO YALIYOMSIBU DADA YETU ASHA NGEDERE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry