Harry Kane akionyesha vidole vitatu baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa Tottenham Hotspur 4-3 dhidi ya Leicester City mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa White Hart Lane. Bao lingine la Spurs lilifungwa na Jeff Schlupp aliyejifunga. Mabao ya Leicester yalifungwa na Jamie Vardy, Wes Morgan na Nugent.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3005622/Tottenham-4-3-Leicester-Harry-Kane-nets-hat-trick-watching-Roy-Hodgson-striker-keeps-Spurs-four-hopes-alive.html#ixzz3V2la8brl
0 comments:
Post a Comment