Steven Fletcher akiwa hewani kupiga mpira kichwa kuifungia Scotland bao la tano katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Gibraltar mechi ya kundi D kufuzu Euro 2016. Fletcher alifunga mabao matatu peke yake dakika za 29, 70 na 90, wakati mabao mengine yalifungwa na Shaun Maloney mawili yote kwa penalti dakika ya 18 na 34 na Steven Naismith dakika ya 39, huku Lee Casciaro akiifungia Gibraltar la kufutia machozi dakika ya 19, ambalo lilikuwa la kwanza mchezoni.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3017061/Scotland-6-1-Gibraltar-Gordon-Strachan-s-surge-victory-thanks-Steven-Fletcher-s-treble-Group-D-minnows-hauled-level-competitive-goal.html#ixzz3VoNpybsQ
0 comments:
Post a Comment