Kipa wa QPR, Rob Green (kushoto) akichupa bila mafanikio kuzuia mchomo wa Seamus Coleman ukitinga nyavuni kuipatia Everton bao la kwanza dakika ya 18 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu. Everton ilishinda 2-1, bao lake lingine likifungwa na Aaron Lennon, huku bao la kufutia machozi la QPR likifungwa na Eduardo Vargas.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3006598/QPR-1-2-Everton-Aaron-Lennon-target-Seamus-Coleman-rocket-fires-Roberto-Martinez-s-close-Premier-League-safety.html#ixzz3V8racbZj
0 comments:
Post a Comment