MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Dany Mrwanda amepigwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa mujibu wa Kanuni ya 14(12) kwa kutopeana mikono na wachezaji wa Simba SC.
Mrwanda anadaiwa kufanya hivyo katika pambano la watani wa jadi, SImba na Yanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mechi ambayo timu yake ililala bao 1-0.
Hayo yamefikiwa katika kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kilichoketi Machi 24, Machi mwaka huu mjini Dar es salaam kupitia taarifa mbalimbali za michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Danny Mrwanda kushoto ametozwa faini kwa kugoma kuwapa mikono wachezaji wa Simba SC |
0 comments:
Post a Comment