Mchezaji wa Crystal Palace, Yannick Bolasie akipambana katikati ya wachezaji wa Southampton, Nathaniel Clyne (kushoto) na Mkenya Victor Wanyama kulia katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa St Marry's. Southampton ilishinda 1-0 bao pekee la Sadio Mane dakika ya 83.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2978062/Southampton-1-0-Crystal-Palace-Sadio-Mane-strikes-late-secure-needed-win-Ronald-Koeman-s-St-Mary-s.html#ixzz3TO1gbosU
0 comments:
Post a Comment