![]() |
Pondamali na Yondani wakifanya yao, huku wachezaji wengine wakiendelea na kazi inayowafanya walipwe mishahara Yanga SC |
![]() |
Pondamali alimzidi Kevin Yondan katika 'sparring' hiyo |
![]() |
Yondan alipoona 'mawe yanazidi' kuporomoshwa akaamua kukimbia kwenda kucheza mchezo unaomfanya aendeshe maisha yake kwa miaka sasa, soka |
0 comments:
Post a Comment