Mshambuliaji wa West Bromwich Albion, Saido Berahino akimtoka mshambuliaji wa Aston Villa, Christian Benteke katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Villa Park. Villa ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Gabby Agbonlahor na Benteke kwa penalti, wakati bao la WBA lilifungwa na Berahino.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2978066/Aston-Villa-2-1-West-Brom-Christian-Benteke-scores-late-penalty-hand-Tim-Sherwood-win-charge-Villa-Park.html#ixzz3TO5cIGBi
0 comments:
Post a Comment