Winga wa Wales, Gareht Bale (katikati) akiwakimbiza wachezaji wa Israel Eytan Tibi (kushoto) na Orei Digani katika mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2016. Wales ilishinda 3-0, bao moja akifunga Aaron Ramsey na mawili Bale.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3016160/Israel-0-3-Wales-Aaron-Ramsey-Gareth-Bale-double-lead-Chris-Coleman-s-summit-Group-B.html#ixzz3Vi1nEDwE
0 comments:
Post a Comment