
Tuesday, March 31, 2015

NYOTA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kwa sasa anashika nafasi ya 29 katika orodha ya washambuliaji bora wa ligi tano kubwa Ulaya wakati...
CAF YAMPIGA STOP STRAIKA MGOMVI WA SIMBA KUCHEZA
Tuesday, March 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, KAMPALA SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemzuia mshambuliaji tegemeo wa URA ya Uganda, Robert Ssentongo kucheza mechi...
BANDA AMTWANGA ‘HADI DAMU’ HAJIBU MAZOEZINI SIMBA SC
Tuesday, March 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES BSALAAM WACHEZAJI tegemeo wa Simba SC, kiungo Abdi Banda na mshambuliaji Ibrahim Hajibu jana walichapana makonde...
MKASA WA KUSIKITISHA WA ULIMWENGU TP MAZEMBE…ALIPELEKA OFA YA KWENDA ULAYA MKONO KWA MKONO, LAKINI AKACHOMOLEWA
Tuesday, March 31, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MWANZA MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Ulimwengu amesema kwamba hafurahii maisha katika klabu yake hiyo na s...
LIGI DARAJA LA NNE YASHIKA KASI MWANZA
Tuesday, March 31, 2015
Na Philipo Chimi, MWANZA LIGI ya Daraja la Nne Tanzania Bara msimu 2015 leo imeendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali mjini Mwanz...
HAROUN CHANONGO KUTUA TOTO AFRICANS
Tuesday, March 31, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MWANZA WINGA wa Simba SC, Haroun Chanongo anayecheza kwa mkopo Stand United ya Shinyanga, yuko mbioni kutua Toto Afric...
SAMATTA: WASHAMBULIAJI WENGI STARS, WANAMCHANGANYA KOCHA
Tuesday, March 31, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MWANZA MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC, Mbwana Ally Samatta amesema kwamba timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars in...
Monday, March 30, 2015
YAYA TOURE AFIKIRIA KUIVUA 'KIMOJA' JEZI YA IVORY COAST
Monday, March 30, 2015
KIUNGO Yaya Toure amesema anafikiria kustaafu soka ya kimataifa baada ya kutimiza malengo yake. Toure aliiongoza nchi yake kama Nahodha ...
JIBWA LA POLISI LILIPOGIDA MAJI YA UHAI JANA KIRUMBA
Monday, March 30, 2015
Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania, akimnywesha maji ya Uhai mbwa jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza wakati wa mchezo wa timu ya sok...
JEZI YA DI MARIA YAONGOZA KWA MAUZO ENGLAND, INAFUATIA YA SANCHEZ, DIEGO COSTA YA TATU
Monday, March 30, 2015
HIZI ni habari njema ambazo zinaweza kumfariji Angel di Maria. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Argentina amekuwa ana msimu mgumu Manchest...
MECHI YA TAIFA STARS NA MALAWI YAINGIZA MILIONI 72
Monday, March 30, 2015
Na Baraka Kizuguto, MWANZA MCHEZO wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika jana jumapili jijini Mwanza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kati ya we...
TENGA AISHUKURU TFF YA MALINZI KUMPA ‘SHAVU’ UCHAGUZI WA CAF
Monday, March 30, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodegar Chilla Tenga ameishuku...
NGASSA AMERUDI KWENYE ‘FOMU’, ASEMA THOM ULIMWENGU
Monday, March 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MWANZA MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Thomas Emmanuel Ulimwengu amefurahishwa na kiun...
MBWANA SAMATTA: TIMU LIGI KUU UFARANSA ILILIPA HADI FEDHA MAZEMBE, WAKAGOMA KUNIUZA, SIFURAHII MAISHA TENA LUBUMBASHI
Monday, March 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MWANZA KLABU ya AS Saint-Etienne ya Ufaransa ilikwishaingiza fedha kwenye akaunti ya TP Mazembe ya DRC kumnunua mshamb...
MALINZI: SAMATTA, ULIMWENGU NA MWINYI MFANO WA KUIGWA
Monday, March 30, 2015
Na Mahmoud Zubeiry, MWANZA RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi amesema wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars w...
STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA KIRUMBA
Monday, March 30, 2015
Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akimtoka beki wa Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa CCM Kiru...
'MCHEZAJI MPYA' ARSENAL AIFUNGIA UJERUMANI IKISHINDA 2-0 KUFUZU EURO
Monday, March 30, 2015
Marco Reus anayewaniwa na Arsenal (kulia) akifumua shuti kuifungia bao la kwanza Ujerumani katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Georgia ku...
FLETCHER APIGA 'HAT TRICK' SCOTLAND IKIPIGA MTU 6-1 KUFUZU EURO
Monday, March 30, 2015
Steven Fletcher akiwa hewani kupiga mpira kichwa kuifungia Scotland bao la tano katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Gibraltar mechi ya ku...
Subscribe to:
Posts (Atom)