YANGA SC WALIVYOWAFANYA EL MERREIKH 'WAJISIKIE WAPO NYUMBANI' CHAMAZI JANA
Shabiki wa Yanga SC akiwa ameshika bendera za Sudan na El Merreikh kuishangiia timu hiyo ilipokuwa ikimenyana na Azam FC katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Azam Complex jana. Hata hivyo, Azam FC ilishinda 2-0
Mashabiki wa Yanga wakiishangilia El Merreikh jana
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment