// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 02, 2015

    YANGA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Beki wa Ndanda FC, Paul Ngalema akijaribu kumzuia beki wa Yanga SC, Juma Abdul katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hzo zilitoka sare ya bila kufungana.
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman kushoto akichuana na beki wa Ndanda FC, Ernest Mwakupani kulia
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwatoka wachezajii wa Ndanda FC, Zablon Raymond kushoto na Jacob Massawe kulia
    Beki wa Yanga SC, Oscar Joshua kuklia akimtoka mchezaji wa Ndanda FC, Jacob Massawe
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Danny Mrwanda akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ndanda, Ersnet Mwalupani kulia
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Ndanda FC
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akimiliki moira

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top