// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 09, 2015

    YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Beki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde kulia akiupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0
    Salim Mbonde akimfukuzia mshambuliaji wa Yanga SC, KPah Sherman
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akitafuta maarifz ya kuwachomoka mabeki wa Mtibwa Sugar jana 

    Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite kushoto akimtoka kiungo wa Mtibwa Sugar jana
    Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho kushoto akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Andrew Vincent
    Beki wa Yanga SC, Rajab Zahir kushoto akimdhibiti kiungo wa Mtibwa Sugar, Ally Sharrif
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top