// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 05, 2015

    YANGA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA

    Kiungo wa Coastal Union, Abdulhalim Humud 'Gaucho' (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Yanga SC ilishinda 1-0.
    Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho (kulia) akimtoka beki wa Coastal Union, Sabri Rashid
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akipambana na wachezaji wa Coastal Union, Abdallah Mfuko (katikati) na Sabri Rashid kulia
    Kiungo wa Yanga SC, Salum Telela (kushoto) akimtoka beki wa Coastal Union, Abdallah Mfuko
    Winga wa Yanga SC, akimiliki mpira mbele ya beki wa Coastal, Sabri Rashid
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Hussein Javu (kulia) akipambana na beki wa Coastal Union, Mbwana Hamisi 'Kibacha'

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top