// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA BDF KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA BDF KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 15, 2015

    YANGA SC NA BDF KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Winga wa Yanga SC, Andrey Coutinho kushoto akimtoka beki wa BDF XI, Pelontle Lerole katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taufa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0.
    Mshambuliaji Amisi Tambwe akimiliki mpira katika ya mabeki wa BDF
    Mrisho Ngassa wa Yanga SC akimtoka beki wa BDF, Othusitse Mpharitlhe
    Kpah Sherman akitafuta maarifa ya kumtoka Mosha Gaolaolwe
    Beki wa BDF, Othusitse Mpharitlhe akimdhibiti Ngassa
    Kiungo wa Yanhga SC, Haruna Niyonzima akimtoka kiungo wa BDF, Kabelo Seakanyeng 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA BDF KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top