// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YALIKUWA MABAO YA MKWASA KUPITIA KWA NGASSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YALIKUWA MABAO YA MKWASA KUPITIA KWA NGASSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, February 08, 2015

    YALIKUWA MABAO YA MKWASA KUPITIA KWA NGASSA

    Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa (kushoto) akimpa maelekezo mshambuliaji wake, Mrisho Ngassa (kulia) wakati wa mapumziko katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. Ngassa aliingia akitokea benchi kipindi cha pili na kwenda kuifungia Yanga SC mabao mawili ikishinda 2-0. 
    Ngassa kushoto akishangilia na Simon Msuva na Haruna Niyonzima

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YALIKUWA MABAO YA MKWASA KUPITIA KWA NGASSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top