Morgan Amalfitano wa West Ham United akimshambulia usoni Chris Brunt wa West Bromwich Albion katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA Uwanja wa The Hawthorns huku refa Martin Atkinson akishuhudia. West Brom ilishinda 4-0 kwa mabao ya Brown Ideye mawili dakika ya nne na 57, James Morrison dakika ya 42 na Saido Berahino dakika ya 72. West Brom imetinga Robo Fainali kwa mara ya kwanza tagu 2008.
Amalfitano akionyeshwa kadi nyekundu na na refer Martin Atkinson
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2953514/West-Brom-4-0-West-Ham-Brown-Ideye-double-James-Morrison-Saido-Berahino-send-Baggies-FA-Cup-quarters.html#ixzz3Rl1VkpAA
0 comments:
Post a Comment