Mshambuliaji wa Manchester United, Robin van Persie alisimamishwa na trafiki wa kike jana akiwa njiani kuelekea mazoezini
Van Persie alirejea kwenye gari lake aina ya Range Rover baada ya majadiliano mafupi na trafiki wa kike
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 alikuwa mwenye bahati baada ya kutopewa adhabu yoyote
0 comments:
Post a Comment