TOTO African ya Mwanza imerejea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora Uwanja wa CCM Kirumba leo.
Ushindi huo unaifanya Toto ya Mtaa wa Kishamapanda katikati ya Jiji la Mwanza itimize pointi 42 baada ya mechi 21, hivyo kuungana na Mwadui kupana Ligi Kuu kutoka Kundi B.
Kundi A, tayari African Sports ya Tanga na Majimaji ya Songea zimepanda Ligi Kuu.

0 comments:
Post a Comment