Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha pili cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars Maboresho leo inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya kombani ya jiji la Tanga katika Uwanja wa Mkwakwani.
Mchezo huo wa kujipima nguvu ni sehemu ya program ya kocha mkuu Mart Nooj ya kupata nafasi ya kuona maendeleo ya wachezaji wake ambao anawaandaa kuwa wachezaji wa timu ya Taifa ya baadae.
Mara baada ya mechi ya leo jioni jijini Tanga, timu hiyo itarejea jijini Dar es salaam ili kutoa fursa kwa wachezaji kujiunga na vilabu vyao kwa ajili ya michezo inayowakabili mwishoni mwa wiki ikiwemo Ligi Kuu ya Vodacom na Fainali ya Ligi Daraja la Kwanza.

Kikosi cha Stars Maboresho kitakuwa uwanjani leo Tanga |
Mara baada ya mechi ya leo jioni jijini Tanga, timu hiyo itarejea jijini Dar es salaam ili kutoa fursa kwa wachezaji kujiunga na vilabu vyao kwa ajili ya michezo inayowakabili mwishoni mwa wiki ikiwemo Ligi Kuu ya Vodacom na Fainali ya Ligi Daraja la Kwanza.
0 comments:
Post a Comment