// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY NA YANGA MILIONI 74 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY NA YANGA MILIONI 74 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, February 24, 2015

    STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY NA YANGA MILIONI 74

    Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM
    MCHEZO uliokuwatanisha wenyeji timu ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga dhidi ya timu ya Simba umeingiza jumla ya tsh. milioni 31.
    Juma la watazamaji 5,439 waliingia uwanjani kushuhudia mchezo huo, ambao timu ya Stand imepata mgao wa tsh. 6,564,268.22 na Simba wakipata mgao wa tsh. 4,661,581.78.
    VAT (18%) tshs. 4,763,135.59 huku FA  mkoa wakipata tsh.665,940.25, FDF tsh. 1,141,611.86, Bodi ya Ligi tsh. 1,522,149.15, Gharama za mchezo tsh. 1,617,283.47, Uwanja tsh. 2,854,029.66, Gharama ya tiketi tsh.
    Stand United iliifunga Simba SC 1-0
    1,593,000,00, FDF tsh. 2,921,000.00, TFF tsh.2,921,000.00

    Katika uwanja wa Sokoine mbeya jumla ya tsh. 74,600.000.00, zilipatikana kutokana na watazamaji 14,920 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo,  VAT(18%) tsh.11,379,661.02, CDRB (5%) tsh.3,730.000.00, FDF tsh. 5,222,000,00, TFF tsh. 2,238,000.00, Uwanja tsh. 7,804,550,85, Gharama za mchezo tsh 4,442,578.81, Bodi ya Ligi tsh. 4,162,427,12.
    Chama cha soka mkoa (FA) Mbeya kimepata tsh. 1,821,061.86, FDF(TFF) tsh. 3,121,820.34, wenyeji timu ya Mbeya city wakipata tsh. 17,950,466.95 na klabu ya Yanga tsh. 12,747,438.98.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STAND NA SIMBA ZAINGIZA MIL 31, MBEYA CITY NA YANGA MILIONI 74 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top