TIMU ya Tottenham Hotspur imelaza Arsenal mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane jioni ya leo.
Mesut Ozil alianza kuifungia Arsenal dakika ya 11 akimalizia mpira wa Olivier Giroud, lakini Harry Kane akaisawazishia Tottenham dakika ya 10 kipindi cha pili.
Zikiwa zimesalia dakika tano mchezo kumalizika, kinda wa umri wa miaka 21, Kane tena akawainua vitini mashabiki wa Spurs kwa bao la pili na la ushindi.
Kikosi cha Tottenham kilikuwa; Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Mason/Paulinho dk95, Lamela/Stambouli dk90, Dembele/Chadli dk75, Eriksen na Kane.
Arsenal; Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin/Akpom dk89, Ramsey, Welbeck/Walcott dk78, Cazorla/Rosicky dk68, Ozil na Giroud.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2943817/Tottenham-2-1-Arsenal-Harry-Kane-scores-twice-Spurs-come-beat-north-London-rivals-Mesut-Ozil-opener.html#ixzz3R4bZv1uC

Harry Kane kushoto akishangilia baada ya kuifungia Spurs leo
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2943817/Tottenham-2-1-Arsenal-Harry-Kane-scores-twice-Spurs-come-beat-north-London-rivals-Mesut-Ozil-opener.html#ixzz3R4bZv1uC
0 comments:
Post a Comment