Beki wa Simba SC, Hassan Kessy (kushoto) akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Fakhi kulia katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-1. |
Mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma akimtoka Mohammed Fakhi wa JKT Ruvu |
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajibu akitafuta mbinu za kumfunga kipa wa JKT Ruvu, Benja Haule |
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Ramadhani Haruna Shamte
|
Kiungo wa Simba SC, Abdu Banda alikaribia kufunga jana kipindi cha kwanza |
Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma kulia akiwania mpira kwnye himaya ya beki wa JKT Ruvu, Renatus Morris |
0 comments:
Post a Comment