Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Coastal Union, Mbwana Hamisi 'Kibacha' kushoto jana |
Kiungo wa Simba SC, Abdi Banda akiwatoka wachezaji wa Coastal jana |
Kiungo wa Coastal, Abdulhalim Humud akimtoka kiungo wa Simba SC, Abdi Banda |
Beki wa Simba SC, Abdallah Mfuko akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri |
Beki wa Coastal Union, Tumba Swedi, akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma |
0 comments:
Post a Comment