// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAMATTA APIGA BONGE LA BAO HAJAWAHI TANGU AZALIWE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAMATTA APIGA BONGE LA BAO HAJAWAHI TANGU AZALIWE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, February 18, 2015

    SAMATTA APIGA BONGE LA BAO HAJAWAHI TANGU AZALIWE

    Kareem Mbwana Samatta amezaliwa
    MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokraasia ya Kongo (DRC), Mbwana Ally Samatta ameonyesha yeye si mkali wa mabao uwanjani tu anapokuwa na jezi ya klabu hiyo au timu a taifa ya Tanzania, Taifa Stars, bali hata kitandani anafanya vizuri.
    Hiyo inafuatia mchezaji huyo wa zamani wa Mbagala Market, African Lyon na Simba SC kupata mtoto wa kiume aliyempa jina Kareem.
    Mtoto huyo amezaliwa Dar es Salaam wiki iliyopita wakati baba yake akiwa kazini, Lubumbashi, yalipo makao makuu ya Tout Puissant Mazembe. 
    Mbwana Ally Samatta, ukipenda muite 'Baba Kareem'

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA APIGA BONGE LA BAO HAJAWAHI TANGU AZALIWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top