// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO APIGA BAO LA 58 LIGI YA MABINGWA REAL IKIUA 2-0 UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO APIGA BAO LA 58 LIGI YA MABINGWA REAL IKIUA 2-0 UJERUMANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 19, 2015

    RONALDO APIGA BAO LA 58 LIGI YA MABINGWA REAL IKIUA 2-0 UJERUMANI

    REAL Madrid imebisha hodi robo Fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Schalke nchini Ujerumani. 
    Cristiano Ronaldo aliifungia bao la kuongoza timu ya Carlos Ancelotti dakika ya 25 kwa kichwa na kumaliza ukame wa mabao uliodumu kwa karibu saa tano upande wake. Kwa Ronaldo hilo linakuwa bao lake la 58 Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa timu yake Real Madrid.
    Marcelo akaifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 78 na kuihakikishia timu yake ushindi mzuri wa ugenini.
    Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas, Marcelo, Pepe, Varane, Carvajal/Arbeloa dk81, Silva, Kroos, Isco/Illarramendi dk84, Bale, Benzema/Hernandez dk78 na Ronaldo.
    Schalke: Wellenreuther, Uchida, Howedes, Matip, Nastasic, Aogo, Neustadter/Kirchoff dk56, Hoger/Meye dk81, Boateng, Choupo-Moting na Huntelaar/Platte dk32.
    Cristiano Ronaldo scored his 58th Champions League goal for Real Madrid as his side earned a 2-0 win against Schalke
    Cristiano Ronaldo amefunga bao lake la 58 Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa timu yake Real Madrid ikishinda 2-0 dhidi ya Schalke usiku huu

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2959030/Schalke-0-2-Real-Madrid-Cristiano-Ronaldo-heads-58th-Champions-League-Carlo-Ancelotti-s-side.html#ixzz3S8gdOQXT 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO APIGA BAO LA 58 LIGI YA MABINGWA REAL IKIUA 2-0 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top